Babu Owino Akamatwa

Mbunge wa Embakasi ya Mashariki Babu Owino amekamatwa.

Babu Owino alitiwa mbaroi kwa madai ya kupiga risasi kwenye sehemu ya kujivinjari Kilimani, Nairobi.

 

Mwathiriwa aliyepigwa risasi anaripotiwa kupata majeraha baada ya tukio hilo.

Jamaa huyo alipelekwa kwenye kitengo cha dharura kwenye hospitali moja jijini Nairobi.

Kiini cha tukio hilo bado hakijabainika wazi na jaribio la kumpata kwenye simu halikufua dafu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *