Mbunge Moses Kuria Akamatwa

Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria (Picha: Kwa Hisani

Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria amekamatwa kwa madai ya kumshambulia mwanamke kwenye studio ya Inooro.

Joyce Wanja alisema alishambuliwa mnamo Desemba 8 mwaka jana katika ofisi za Royal Media Services wakati wa mahojiano yake na mbunge wakijadili BBI.

Wanja anasema mbunge huyo alimshambulia wakati alipomkabili juu ya maneno yake wakati wa kufadhili kwa watoto yatima huko Kiambu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *