Gavana Sonko Akimbizwa Hospitalini

Gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko amekimbizwa hospitalini.

Sonko amepelekwa kwenye hospitali ya Kenya (KNH) baada ya kuugua kwenye gereza la Kamiti Maximum Prison usiku wa kuamkia leo.

Hakimu alikuwa amempatia kibali apate matibabu hapo jana.

Maelezo zaidi kufuatia…

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *