My Husband Doesn’t Want Me to Talk in Our House -Married Woman Confession

Image result for noisy wife

Every marriage has its own problems and solutions. It is said that partners are always aware of each other’s weaknesses hence easy to handle each other.

Check out the confession below of a lady who is finding it hard to communicate with her husband.

Mimi bwanangu ni wale wa always busy at work so the only free time naeza ongea na yeye ni kwa bed,,,,koz akifika ni kuoga akikula nianze kuongea ananiambia nampotezea appetite na ni ukweli ju nikianza kuongea akikula hatakula tena..!

Sikatai I talk too much…wakati wa sex huwa najipata nikimkumbusha na kesho uache pesa ya chama, na baba Kim alisema umpitie na weekend uombe off unipeleke outing.

Soko skuizi bei wamepandisha viakula,,,,so skuizi nimenotice naenda kuongea ananifunga mdomo ..!he is very responsible but yeye kila talk kwake ni kelele.

Image result for noisy wife

Ananiambia staki makesi kila nikianza kuongea ama ananipea ruhusa naongea nikifika nusu ananiuliza kai ugurukaga??do u usually go mad???….

He is good in bed. Sasa akikosea alijua my weak point ananishika next mi niko kwa bed making love nikimwambia how much I loves him…….

What will I do nipate time ya kuketi chini na yeye nacomplain nikitaka???? Watu wa text him nikimtext anarudisha OK…

Nikitxt tena hatarudisha,,,akikuja jioni ananiuliza nakuacha asubuhi ukiwa sawa masaa ingine unavutabangi ama unanitxt kama mwendawazimu? Watu wa punguza mdomo kuna yenu imepotea dinaa_icii?

Who is to blame in such a case? Is the lady so mouthy? What should the husband do to cope with her?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *