Kocha na mtaalam wa mahusiano Bwana Robert Burale amewashangaza wengi baada ya kushiriki picha yake ya zamani mtandaoni.
Burale anajulikana kwa kutoa hotuba zenye kuchochea mawazo na hekima mara nyingi kwenye televisheni na cha msingi ni kuwa alikuwa na zama za zama kama yeyote yule.
View this post on Instagram
We have to own our scars! We must accept our mistakes! But we must keep growing. #TheCoach
Kila mtu ana siku za nyuma lakini hakuna mtu aliyetabiri upande huu wa baba wa mmoja.
Tazama maoni ya wafuasi hapa chini:
alex.owiti
Letβs bow for a word of prayer!
alagasandy
Wacheni mungu aitwe mungu eeish
teacherwanjiku
Verified
Fungeni macho tuombe π baba twaja mbele yako…..
pinchez_kijana_wa_gukaa
Ya mungu ni mengi ya kuku ni mayaiπ