(PICHA) Wimbo mpya wa Willy Paul ‘Lamba Nyonyo’ yapelekea mwanamke kukata chuchu za matiti

Image result for willy paul lamba nyonyo

Msanii Willy Paul ameshangaza wengi baada ya kufanya wimbo wa ‘Lamba Nyonyo’ ambayo imeleta hali ya sintofahamu.

Wengi wa mashabiki wake ni wale waliompenda akiwa kwa zmiki wa injili lakini Pozze alibadilisha nia ya kusifu Mungu na kujihusisha mambo ya dunia.

Kwa bahati mbaya, mwanamke mmoja amezing’oa chuchu za matiti yake. mwanamke kwa jina la Razor Candi, ameweka picha zake mtandaoni akionyesha matiti yake bila chuchu kitu ambacho kimewapumbaza wengi.

Mwanamke mwenyewe ni wa uzunguni lakini unahisi kuwa wimbo wa Willy Paul umechangia haya?

Haya ni baadhi ya maoni yaliyotolewa na wafuasi wake kwenye mtandao wa Twitter;

https://twitter.com/zonsofye/status/1155888381831864320

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *