Diamond Platnumz mother, famously known as mama Dangote, has been making headlines since she got married to a younger man than her.
Many are times she has been warned by her fans to be cautious since her husband was attracted to her for the fame she receives from her son, Diamond.
Netizens trolled her after she made a post of her and her husband captioning it; “Mume wangu.”
Here are some of the reactions towards the post;
Kha!! yamekuwa matangazo Nani hajuhi kuwa ni Mmeo
Huyo kiben ten tyuππ mumeo ba dangote
Mnapendaaaa eeeh….eeeeh mnapostiana , ankutoa toa eeeh nasemajeeeeee mtaaachaaaaaaaanaaaaaaaa tuπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π
Et mange anasema huna mayai blid imekataππππ
Ebu uliza uyo mume wako hataki kuitwa baba
BIBI AGA, π€JUST REMEMBER HE’S THERE FOR THE MONEY AND LIFESTYLE YOU GIVE HIM. FULL STOPπππππ½ππ½ππ½πππππ
Kweli mume wako hakuna anaebisha π
Sio wako peke akoπ€£π€£π€£π€£halooooooo fanya ukamuone mjukuu sasa
Kwaraha zakooo
Cjawahi kuona hawa watu wakipost hata jumbe zuri,wao kila siku mapenzi tu kama wanajifunza au ndo ulimbukeni sasa
ππππtukomeshe wambea
Nacheka kama mazuri dadekiii bibi kashikwa patamu πππ mwanamke jeuri zaa na mumeweπ€£π€£π€£
Hihihiiii uwiiiiiiiiiiiiii mzalie basi
Tusio na waume tumekwamia wapi? π
Tusio na waume tutaambia nini watu?? π
Sema Mume wetu sio mume wakoπ
Iyo inaitwa ni wako akiwa kwako akitoka nje cha wote unataka uwe peke yako kwan ww mchawi? ata mchawi anawanga na wenzie
Nakuomba kwahisani yako mama acha haya mambo hujaendana nayo kabsaa ww ni m2 mzima kumbuka hilo kichwani mwako acha kujitoa akili kiasi hiko ikiwa ni mumeo au sio mumeo au ameonesha cheti jua ashazaa na mwanamke mwingine na mpaka jina mtoto kafunguliwa la Insta ss unajidhalilisha nn..?? Hebu kaa ujiulize swali 1 ungekua ww co mama ake Diamond mwenye jina kubwa na vijihela huyo Shamte angekufata Tandale akakuoa kibibi kama ww..?? Acha upumbavu na kujitoa akili Shamte yuko na ww kwasababu una jina flani ktk jamii lkn co kwasababu anakupenda hapana hyo futa tangu lini mvlana mdogo akapenda mtu mzima tena wewe co mtu mzima ww ni kibibi kizee kabsaaa mjinga ww na Shamte amekaa anasema ww mtamu na ww unasapot ujinga wakusanifiwa na mwanamme mm nilijua ww akili za kusoma huna kumbe hadi akili za dunia pia huna.. bibi kizee kama ww ukagombanie mwanamme mtandaoni hv ww umechanganyikiwa au..?? Unaskitisha hakyamungu unahitaji dua haraka sana au utakua zezeta.. watu wanamcheka baba ake Diamond hajielw kumbe hawajui ww ndo zumbukuku ulimwengu uko huku hujielew kabsaaa wallah bibi kizee kama ww ukagombanie mwanamme mtandaoni mungu aniepushe nikifika umri kama wako nishike mswala niswali nisije kuwaonesha wanangu wala wajukuu zangu upumbavu kama huu ww kweli punguwani