Hali ya sintofahamu baada ya Eric Omondi kuonyesha rangi halisi ya Vera

Vera Sidika back to being a dark skin

Wafuasi wameachwa kwenye sintofahamu baada ya Vera Sidika kubadilisha rangi ghafla.

Vera Sidika amerudia rangi yake ya kuzaliwa ya kuwa mweusi baada ya kubadilisha rangi miaka chache iliyopita na kuwa kama mzungu ‘mwitu’.

Image result for vera sidika

Vera aliweka jana picha akiwa amejipodoa kwelikweli na akawa na rangi ya nyeusi kilichowashangaza wengi. Hata hivyo, wengi walisema kuwa hayo ni mapambo tu na sio halisi.

Cha kushangaza ni kuwa, Eric Omondo mchana wa leo alirekodi video akiwa na Vera ili kuonyesha wafuasi wake kuwa kweli rangi yake imebadilika.

Kupitia video hiyo, Eric Omondi anaonekana mwenye furaha kwa kuwa Vera amebadili rangi yake na hatorudi kuwa mweupe bandia tena.

Vera pia aliongezea kuonyesha video yake akiwa mweusi na mwonekano wake usiokuwa na madoadoa hata kidogo.

 

View this post on Instagram

 

Wishing y’all a beautiful day ahead Sweethearts. πŸ’•Love and LifeπŸ’•

A post shared by VERA SIDIKA (@queenveebosset) on

Haya ni baadhi ya maoni ya wafuasi wake;

bahati_bahatyLakini wewe ni Bosslady, pesa ya kenya imepindua rangi ukaona hutaachwa nyuma?

jackyvikeVerifiedEbu nilambie kidole moja Niamini πŸ€£πŸƒπŸΎβ€β™€οΈ

muriuki.christineVera ako na hormones za chameleon

miss_glaudy

Back to default settings πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ but black still looks good on her😍

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *