Wasanii wa Kenya wawadhihaki Watanzania baada ya kichapo cha mbwa kwenye AFCON

Wasanii na watu mashuhuri wameonyesha uzalendo wao baada ya kufuzu kwa Harambee Stars huko Misri dhidi ya Tanzania. Mechi ya AFCON ilimfukuza Tanzania nje ya ligi na alama ya 3-2 katika dakika ya 90.

Ushindi umeukomboa timu ya kitaifa ya Kenya ambapo wakenya walikuwa wamekata tamaa baada ya aibu waliyoistahimili wiki moja dhidi ya Algeria.

Image result for kenya beats tanzania afcon

Mechi ya jana usiku ilianza kwa kasi baada ya Taifa Stars kufunga bao la kwanza baada ya dakika sita kwenye awamu ya kwanza. Wasanii wamewasilisha ujumbe wao wa kujisifu. Kutoka Akothee hadi Avril, angalia ujumbe wao chini;

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *