Mbunge Jaguar akamatwa nje ya Bunge

Image result for starehe MP jaguar arrested

Mbunge wa Starehe, Charles Kanyi, almaarufu Jaguar, amekamatwa nje ya majengo ya bunge baada ya maneno yake kwa wageni wanaofanya kazi nchini Kenya.

Munge huyo alitishia kukusanya timu ya vijana na kuwakusanya wageni wote wanaofanya kazi katika mji huo, kuwapiga na kisha kuwapeleka kwenye uwanja wa ndege ndio wafukuzwe.

 

View this post on Instagram

 

Previously on Kenyan Politricks Season 4. Watu hunishangaza sana

A post shared by Mike Wachira (@realmikewachira) on

Taarifa yake iliwashangaza taifa nzima na Bunge la Tanzania kujadili suala hili na kuamuru Rais wao John Pombe Magufuli kutoa taarifa kuhusu hali ya biashara zao za uendeshaji nchini Kenya.

Lakini je, hatua gani itachukuliwa kwa mbunge huyo wa Starehe?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *