Wema Sepetu aachiliwa baada ya siku saba rumande

Image result for wema sepetu

Mwanamtindo wa Tanzania Wema Sepetu ameachiliwa kutoka rumande ambapo amekuwa akishiiliwa kwa wiki moja juu ya kanda la ngono.

 

View this post on Instagram

 

Forget what hurt you, BUT always remember what it taught you… 😌

A post shared by Wema Sepetu (@wemasepetu) on

Video hiyo ambayo ilionekana mtandaoni ikionyesha Wema na mchumba wake wa zamani wakionyesha ishara za kimapenzi kilimtia matatani.

Kwenye video hiyo ambayo ilitolewa na jamii ya Instgramu, Wema alionekana akifanya mapenzi kwweye kitanda na mchumba wake wa zamani, anayejulikana kutoka Burundi kwa jina Patrick almaarufu PCK. Mahakama ya Dar es Salaam iliamuru mwanamtido huyo atiw mbaroni.

Image result for wema sepetu

Kwa upande wake, wakili wa Wema Ruben Simwanza alisema kuwa mteja wake aliwasili kwa ajili ya kusikilizwa lakini alilazimika kuondoka katika nyumba ya mahakama baada ya ghafla kupata matatizo ya tumbo.

Image result for wema sepetu and PCK

Siku saba zimeisha sasa na mpenzi wa kwanza wa Diamond sasa yuko huru. Baadhi ya marafiki wake na mashabiki wameonyesha furaha na mapenzi kwa mwanamtindo.

Haya ni baadha ya maoni;

___mtanzania

Yaani huyu binti badala ya kuutumia umaarufu wake kwa manufaa yake amezidi kuonekana hafai kabisaaa

ayshachibu

Mna uhakika kaa mahabusu ciku 7?! Mbona aliachiwa akawa home nyie ndio hamjui sie wamtaani twajua wema alitokaΒ πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€@globalpublishers

wardarocket22

Mama wa watu anatia huruma sana maana muda mwingine wazazi wanajivunia kuwa na watoto welevu na wenye maadili ,,,ukizaa unalea mtoto mpaka anakua na kuanza maisha yake na inafikia kipindi ni zamu ya mtoto kukulea wewe mama,,,Lakini so kwa mama huyu bado anaendelea kumlea mwanae ambae jukumu lakumlea lilishapita,,wazazi muda mwingine wanahitaji faraja zetu sana kuliko tunavyowafanyia,,WEMA USHAKUA MTU MZIMA KuWA BASI,,MIAKA 30 NI MINGI MNO KUWA NA AKILI TIMAMU,,,Mpumzishe huyo mama kwanza,,ishakuwa too much

daudiwhite

Yani hapo anaenda tu kupumzika hom ila kesi ya msingi inaendelea kama kawa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *