Jinsi gari la naibu IGP inatumika kufanya utekaji nyara wa mjini

Image result for igp sabiiti's car

Wafuasi wa People’s Power bado wapo kweneye harakati za kumsaka promota wa Bobi Wine, Bajo.

Promota Bajo alikamatwa na watu walioaminika kutoka kwa utawala wa Kijeshi mnamo Jumamosi na kuchukuliwa kwa mahali pasipojulikana.

Kilichowashangaza wengi ni lile gari ambalo lilitumiwa kumkamata promota huyo.

Image result for igp sabiiti's car

Kwa mujibu wa InfoUganda, UAT 511C ni nambari ya usajili wa gari la  naibu IGP Muzeyi Sabiiti, gari aina ya Land Cruise ambalo aliliendesha akienda bungeni kwa mahojiano.

Kwa hisani ya URA, UAT 511C ilichukuliwa mnamo 2012 kwa gari ya Toyota Spacio.

Nambari hiyo hiyo bado ilipatikana mnamo Jumamosi kwa gari ya Toyota HIACE ambayo ilitumika kumkamata promota Bajo Eventz.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *