Mchumba wa Nandy marehemu Ruge alikuwa pia na uhusiano na Ray C?

Image result for ray c ruge

Msanii mkungwe wa Tanzania Ray C amewaacha mashabiki  wake wakisemeza uhusiano wake na marehemu Ruge, aliyepaswa kumwoa Nandy, baada ya kuweka picha zake kwa ujumbe wa kilio.

Katika picha anakiri kwamba anamkosa, anampenda na anamhitaji katika maisha yake. Hatua ambayo imesababisha mashabiki kupigwa na butwaa. Je, uhusiano wao ulikuwa zaidi ya kitaalamu?

Ruge Mutahaba alikuwa kigogo kwenye kusaidia miziki na pia mkurugenzi wa mipango ya Clouds Media Group Tanzania na alikufa akiwa na umri wa miaka 49.

Machapisho yake yanakuja wiki chache baada ya kutangaza hadharani kuwa amevunjika moyo na ana mawazo ya kujiua, kitu ambacho kiliwaogopesha wafuasi wake. Sasa swali ni moja, Ruge ndio sababu? Na mtu anaweza kuwa katika hali hiyo kwa urafiki tu?

 

View this post on Instagram

 

God pls!!!Help me HEAL!

A post shared by Rehema Yusuph Chalamila 🇹🇿 (@rayctanzania) on

 

View this post on Instagram

 

I need you in my life Ruge!Ongea na mimi ndotoni pls!😪

A post shared by Rehema Yusuph Chalamila 🇹🇿 (@rayctanzania) on

Huu sio mara ya kwanza Ray C ameonyesha kuomboleza Ruge. Wakati wa mwisho alifanya hivyo aliamsha uvumi wa kuchumbiana kulingana na muda walio kuwa nao pamoja.

Nandy pia ni msanii ambaye amekuwa akimwomboleza marehemu Ruge kila wiki kwenye mtandao wa kijamii.

 

View this post on Instagram

 

KING 🤴

A post shared by Faustina N. Charles Mfinanga (@officialnandy) on

Kutokana na machapisho zake za mara kwa mara, mashabiki waliamini kwamba walikuwa zaidi ya marafiki. Ingawa alijaribu kujificha kwanza, baadaye aliithibitisha kwenye mahojiano na ndugu yake pia alithibitisha uvumi.

Alikubali kuwa walikuwa na uhusiano na ilikuwa siri ya juu na walitaka kuepuka ushawishi wa nje kutoka mitandao ya kijamii na mashabiki kwa ujumla. Mwana wa Ruge pia alikiri kwamba alikuwa sehemu ya familia yao na ndoa ilikuwa imetengwa kabla ya kufariki kwake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *