VideoMPYA: Gigy Money ‘ Changanya’ Feat Tushyne/Mauno ya Humu Hatari.

Ebwana eh Gigy Money this time kafanya kweli aiseee. Wakati unajiandaa kumaliza week yako anakuletea kichupa cha Changanya  alichomshirikisha Tushynne. Audio ya video hiyo imetayarishwa na Tongwe Record na video imeongozwa na Lucca Swahili Visual.

Humo ndani sasa kuna mauno ya hatari si unamjua mwenyewe Gigy akiamua. Cheki video hapa na utoe comments zako hpo chini!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *