Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera Ammwagia Mapesa Mboni.

Kocha wa klabu ya Yanga Mwinyi Zahera ametoa kiasi cha cha zadi ya shilingi milioni mbili kwajili ya kusaaidia watoto walioko kwenye mazigira magumu. Hii inafuatia ili kutimiza ahadi yake aliyoitoa wakati wa Iftar iliyoandaliwa mahususi na mtangazaji Mboni muandaaji wa kipindi cha Mboni show.

 https://www.youtube.com/watch?v=Mki0sqVJHG8

Iftar iyo iliandaliwa mahususi kwa ajili ya kuchangisha fedha kwaajili ya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na ilihudhriwa na waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndugu Kasim Majaliwa.

Katika iftar hiyo Zahera aliahidi kiasi cha dola 1000 mbele ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe hiyo iliyokua mubashara kwenye Luninga nchini.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *