Bata Analokula Shamsa Ford Dubai ni Nomaa!

Tumeshuhudia mastar wengi duniani baada ya kuachana na wapenzi wao ,wengi wao hupenda kujitenga kwa muda na masuala ya publicity ,wengine hufanya  sherehe na wengine hata kusafiri na kwenda vacation.

 

Sasa sikia hii nyota  wa filamu nchini Tanzania ,Shamsa Ford ameonekana Dubai akila bata la  nguvu hii ni baada ya kuachana na mumewe Chid  Mapenzi .

Mwanzoni  mwa  mwezi huu zilikuwepo tetesi juu  ya wawili hao  kuachana na kisha kuthibitishwa na Shamsa mwenyewe kupitia akaunti yake  ya Instagram.

Watu wengi wameonekana kujuiuliza je  bata analokula Shamsa huko Dubai ni njia ya kuondoa msongo  wa mawazo au kapata mpenzi  mwingine.

We unaonaje? Shuka  hapo chini!

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *