“Mvua inanyeshea makaa badala ya range rover” DJ Moh trolled

Image may contain: 1 person, standing and outdoor

Gospel DJ Moh has been attacked by Kenyans after he shared a clip of rain pouring down on his cars. He captioned it; “Rain ni blessings …. kwenu kunanyesha??” Kenyan stormed the comments section with mixed reactions since they felt he was showing off. Here are some of the reactions;

Alvin Angote: Yaa kwetu inanyesha shida ni hainyeshei magari

NancyNdekere: Kwetu kunanyesha ni vile inanyeshea makaa badala ya range rover.

Murunga: Yeah only that ya huku inamwagikia manguo zilifuliwa jana si magari

Hilary Dead Laughing GIF - YoungerTV Younger TVLand GIFs

Derrick: Sawa tumeona gari za maneiba

Martin Muhia: Na kwani hii mvua inanyesha parking pekee mo πŸ˜‚

Killion Makinda: Sema unataka tuone magariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Laughing Babies GIF - Baby Toddler Laughing GIFs

Njammii: Yaa but hapa kwetu inanyesha ya maharagwe

Ben Kurgat: We have seen the range rover yako .
Very good

Mburu Kimani: Inanyesha kwa magari tu.

Lol Shy GIF - Lol Shy Laugh GIFs

Winritah: Tunaona vile inanyeshea gari…😎anyway kwetu bado.

Moses Otimi: Tumeshaona gari.

Shii Munyi: Nimii tu nanyesha huku

Oprah GIF - OprahWinfrey Laugh Laughing GIFs
Mitchy: Inanyesha hapo kwa gari tu
FavoredTonny: Kwetu kunanyesha lakini sasa difference ni chenye kinanyeshewaπŸ€”πŸ€”
Mulamwa: Marsha yako si mbaya bro …. kwetu kukinyesha kuna kitu inaitwa Matope
Rolling On The Floor Laughing GIF - RollingOnTheFloor Laughing Emoji GIFs
Elipez; Tumeona you have decided to clean your tuk tuk
SadyKass: Empty debe ndio kelele mingi. I havent seen Dangote doing such …
Beular: Kwetu kunanyesha but gari ya jirani ndo inanyeshewa si bado tujabarikiwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *