Tanzania tycoon fights for the late Mengi’s wife

Renown Tanzania tycoon and Le Mutuz online TV CEO, Lemutuz, has promised that he will fight for Mengi’s widow, Jacqueline Ntuyabaliwe. Lemutuz, who is admitted in the hospital, was annoyed with the ongoing rumors that Jacqueline killed her husband.

Image may contain: 2 people, baby

He said; “Dear Jacky mke wa my great Friend Marehemu Mzee Mengi …I want you to know nipo Kitandani lakini namlilia sana my Friend your late Husband …wiki mbili zilizopita nilikaa naye Ofisini mimi na yeye kwa Masaa 2 tuliongea mambo mengi sana kama kawaida kila nilipokuwa nikikutana nay.

Image may contain: 2 people, people smiling, people sitting

Siku zote he was very proud of you as his Wife na aliniambia mara nyingi furaha yake ya WEWE kuwa Mkewe …mfumo Dume wa Tanzania unataka kuona WEWE unawekwa pembeni baada ya Mzee kutangulia mbele ya Haki.

Image may contain: 2 people, people smiling, people sitting, table and indoor

Naomba kuwaambia wahusika wote kuwa Mzee hakuwa na ROHO MBAYA YA NAMNA HIYO …na pole sana na Wanaokuchafua na ninasikitika kuwa haya yanatokea nikiwa Hospitalini Kitandani …lakini I promise you my 100% Support hasa nikipona NITAKUSAIDIA KUJIBU HUU UPUMBAVU WOTE WA SOCIAL MEDIA MZEE MENGI WAS MY PERSONAL FRIEND NA NINAJUA ALIKUA ANAKUPENDA NA ASINGETAKA KUSIKIA HUU UJINGA UNAOENDELEA.

Image may contain: 4 people, people smiling, people standing and outdoor

Endelea na Maombolezo kamzike Mume wako hawa Magoi goi wasiokuwa na Maisha NIACHIE! ….haya yanayosema eti Mzee alikuwa amefilisika kama ni kweli wanalilia nini sasa? MIPUMBAFU SANA HII MIJINGA ..Thank U Jacky I am with you 100%!”

Talking about the same issue, he had previously said; “Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako …this Stupid argument goes like …Jacky alishandikiwa urithi wa 50% ya Mali zote za Marehemu my great Friend Mengi na Jacky alijua mapema sana kuwa iwapo anything happen to Mzee anapata hiyo Mali bila tatizo.

Image may contain: 2 people, people smiling, hat

So kama ni kweli mpaka leo Jacky stands to Collect that 50% ….ok wanasema yote hiyo haikutosha Jacky kaamua kumuua Mzee Mengi!….NOW HOLD IT RIGHT gademu there …so supposedly sisi Watanzania wote tunatakiwa kuamini huu upumbavu and stupidity of high nonsense? ….

SO DUBAI HAWANA CCTV CAMERA za kumuonyesha Jacky akimsukuma Mzee? Yaani mnaongea ongea kama Dubai ni gademu Mbagala are you guys out of your gademu minds? HIVI UNAZIJUA SHERIA ZA DUBAI KUHUSU MURDER? KAMA INGEKUWA KWELI JACKY ASINGERUDI POLISI WA KULE WANGERUKA NAYE KULE KULE JUU KWA JUU…

Image may contain: 2 people, people smiling, people standing

Yaani huu upuuzi ninaousikia nasikia kichefu chefu ..Jacky ni mke halali wa my Friend Mzee Mengi na on a serious note Marehemu Mzee aliniambia mara nyingi sana kuwa ….”William Jacky is my Wife” …”She is a part of me” …huu ninaousikia ni ujinga wa kiwango cha “PhD” ni HAKI YA JACKY KUPATA MALI ZA MUME WAKE NI HAKI YAKE …

View this post on Instagram

HOME OF FACTS & FREE EDUCATION: ..Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako ...this Stupid argument goes like ...Jacky alishandikiwa urithi wa 50% ya Mali zote za Marehemu my great Friend Mengi na Jacky alijua mapema sana kuwa iwapo anything happen to Mzee anapata hiyo Mali bila tatizo so kama ni kweli mpaka leo Jacky stands to Collect that 50% ....ok wanasema yote hiyo haikutosha Jacky kaamua kumuua Mzee Mengi!....NOW HOLD IT RIGHT gademu there ...so supposedly sisi Watanzania wote tunatakiwa kuamini huu upumbavu and stupidity of high nonsense? ....SO DUBAI HAWANA CCTV CAMERA za kumuonyesha Jacky akimsukuma Mzee? Yaani mnaongea ongea kama Dubai ni gademu Mbagala are you guys out of your gademu minds? HIVI UNAZIJUA SHERIA ZA DUBAI KUHUSU MURDER? KAMA INGEKUWA KWELI JACKY ASINGERUDI POLISI WA KULE WANGERUKA NAYE KULE KULE JUU KWA JUU...Yaani huu upuuzi ninaousikia nasikia kichefu chefu ..Jacky ni mke halali wa my Friend Mzee Mengi na on a serious note Marehemu Mzee aliniambia mara nyingi sana kuwa ...."William Jacky is my Wife" ..."She is a part of me" ...huu ninaousikia ni ujinga wa kiwango cha "PhD" ni HAKI YA JACKY KUPATA MALI ZA MUME WAKE NI HAKI YAKE ...ila siamini hata kidogo kwamba kuna mtu anataka kuchezea haki za Jacky kwa kumsingizia ujinga usiokuwa na Ushahidi ....Dubai kuna CCTV Camera Jacky angefanya lolote la faulo angeshakamatwa kule kule Dubai ...Mzee ametangulia mbele ya haki TUMZIKE ..Maisha yasonge mbele ....NITAKAPO PONA NITAZICHAMBUA ALL HIZI NONSENSE THEORIES zinazoandikwa na Masikini wanaotaka kumuona Jacky anapanda Dala Dala kama wao gademitti!....WACHA JACKY AMZIKE MAREHEMU MUME WAKE ...then tutakutana hapa for FACTS! - @lemutuz_superbrand

A post shared by lemutuz_superbrand (@lemutuz_superbrand) on

Ila siamini hata kidogo kwamba kuna mtu anataka kuchezea haki za Jacky kwa kumsingizia ujinga usiokuwa na Ushahidi ….Dubai kuna CCTV Camera Jacky angefanya lolote la faulo angeshakamatwa kule kule Dubai …Mzee ametangulia mbele ya haki TUMZIKE.

View this post on Instagram

Dear Jacky mke wa my great Friend Marehemu Mzee Mengi ...I want you to know nipo Kitandani lakini namlilia sana my Friend your late Husband ...wiki mbili zilizopita nilikaa naye Ofisini mimi na yeye kwa Masaa 2 tuliongea mambo mengi sana kama kawaida kila nilipokuwa nikikutana naye ...Siku zote he was very proud of you as his Wife na aliniambia mara nyingi furaha yake ya WEWE kuwa Mkewe ...mfumo Dume wa Tanzania unataka kuona WEWE unawekwa pembeni baada ya Mzee kutangulia mbele ya Haki ..naomba kuwaambia wahusika wote kuwa Mzee hakuwa na ROHO MBAYA YA NAMNA HIYO ...na pole sana na Wanaokuchafua na ninasikitika kuwa haya yanatokea nikiwa Hospitalini Kitandani ...lakini I promise you my 100% Support hasa nikipona NITAKUSAIDIA KUJIBU HUU UPUMBAVU WOTE WA SOCIAL MEDIA MZEE MENGI WAS MY PERSONAL FRIEND NA NINAJUA ALIKUA ANAKUPENDA NA ASINGETAKA KUSIKIA HUU UJINGA UNAOENDELEA ....endelea na Maombolezo kamzike Mume wako hawa Magoi goi wasiokuwa na Maisha NIACHIE! ....haya yanayosema eti Mzee alikuwa amefilisika kama ni kweli wanalilia nini sasa? MIPUMBAFU SANA HII MIJINGA ..Thank U Jacky I am with you 100%! - @lemutuz_superbrand

A post shared by lemutuz_superbrand (@lemutuz_superbrand) on

Maisha yasonge mbele ….NITAKAPO PONA NITAZICHAMBUA ALL HIZI NONSENSE THEORIES zinazoandikwa na Masikini wanaotaka kumuona Jacky anapanda Dala Dala kama wao gademitti!….WACHA JACKY AMZIKE MAREHEMU MUME WAKE …then tutakutana hapa for FACTS!”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *