“We baba kauze tu madafu” Diamond’s father trolled over his new song

Diamond Platnumz’s father, Abdul Nasib Juma, has left his fans in stitches after he released another song ‘Unanijua’. Having said in the past that he is not in music yet and that in his first song ‘Mwewe’ he was forced by the featured artistes, he seems to be following his son’s footsteps.

Netizens couldn’t get enough of the song as they stormed the comments section with mixed reactions. Here are some of them;

eddymwabura mwabura: Kama na ww umeisikia aga,aga,aga,Mara nyng kulko klichoimbwa tujuane hapa
ragmil ragmil: mh baba wa mxanii du kumbe n tabia dog kaiga kwa wazaz wake

Oprah GIF - OprahWinfrey Laugh Laughing GIFs

Ben the great: I’m not really feeling comfortable to see diamond’s father doing the music He supposed to relax and get the benefits from his son platnumz
Mr. congo kaba: I swear to Allah…Diamond Platnumz father is the best musician..He just made my May 1st…Give him more likes…Ata panya inamjuwa.

Laugh Lol GIF - Laugh Lol Lmao GIFs

Abdul salim: ww mzee hiyo sio fani yako .usitafute dhambi uzeeni Kumbe A Gun: kuachama ovyo domo mondi karithi kwa babaake 😁😁
Awamy Abbas: Hizi dalili kiyama kiko njiani….
kweli photographer: Huyu mzee anakipaji cha uchekeshaji tu sio mziki…

Laughing Too Hard GIF - Shaq Laughing Hysterical GIFs

Job Nyongesa: Huyu mzee ana zake walai Chibu TV: Hahaha huyu mzee kadata alitakiwa atulie bhas Abdi Elmi: Mzee tulia hayo ni makosa ya mwanao Nasib angekupa pesa ungetulia umri ulionao nikumweleke Munge

Laughing LOL GIF - Laughing LOL DyingOfLaughter GIFs

Faraja Luvanda: Huyu mzee anajua anachokifanya nyie muacheni tu. Unajua style ambazo diamond anamletea mzee sio kiivyo amemtenga sana japo mzee hataki kumsema vibaya mwanae. Diamond yuko bize sana na mama so mzee anaumia ndani kwa ndani. Baba kaamua aende na style hii kuliko apunguze mawazo kwa ulevi ameona bora ajiachie na vijana wake wanao tambua umuhimu wake.

New Year GIF - New Year Newyear GIFs

Hassan Mpwepwe: Mzee kumbe nawew urkuwa unatufuta kik duu iyo Kar waachie watoto wew unazngua
Abdulrahman: Babu Dangote kapiswa uzeeniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jerry Bonny: Mungu baba simamisha Dunia nishukeπŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜

Good One GIF - TheWolfOfWallStreet LeonardoDiCaprio ForcedLaughter GIFs

Lillian Urio: We baba kauze tu madafu hata sielew anachokiimba kwani ulikuwa wap, mwachie mwanao dai afanye mziki
Maureen Nekesa: hahaaaa bas maqueens mushikeeni polepole babu Tuffah mzije mukamvunja ana sauti yakumutoa nyoka pangoni

Spit Take GIF - Spit Take Laughing GIFs

Mwashasha Said: Haha hataree kumbe ndo mana diamond player..aliiga
Hassan Mahango: dunia imeish kwel EMUNGU TUONGOZ SS WAJA WAKo
Fredlick Nachaja: Kikweli maadili ya kijami jamani hamna kabisa, iweje mtu Babu tena anachezesha wanawe kwenye steji na kuwashika viuno!!!? Kwani katokea wapi huyu msimuelimishe? Watanzania mnajishusha hadhi jameni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *