Mume na mke wahukumiwa kulipa faini ya Sh milion 20 kwa kuajiri raia wa nje bila kibali

Mkurugenzi wa kampuni ya Biabana, Anna Kristina Edler, (54) na mumewake, Anders Svensson 58 wamehukumiwa kulipa…

Mashahidi katika kesi ya vigogo wa TPDC washindwa kufika mahakamani

Kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayowakabili vigogo watano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania…

Baba afikishwa mahakamani kwa kumbaka mwanae

    Mkazi wa Mbezi Juu Said Rashid (36), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni…