Nyota Ndogo: Man intentionally wanted to infect me with HIV

Kenyan Pioneer Artist Nyota Ndogo has shared her encounter  with a man whom she claims wanted to infect her with HIV.

Nyota Ndogo was sharing this story saying that it should serve as a lesson to other people who are single and desperate.

The Singer says that she hosted her friend and a certain man at a time of need and on that night, the man approached her in the kitchen.

Nyota explains that at that period of time, she had two children and was living with them as a single mother.

She also added that the man was suspicious since on the first day of hosting them, he had picked up a conversation with her saying that he was even ready to pay dowry for her.

The Singer however says that she felt that the man was not genuine and so she did not fall for any of his words.

Nyota  Ndogo mentioned that  in a later incident she met the man hanging out with a number of ladies.

Someone also informed her that the man is known to trick ladies with his ill intentions.

As a lesson to others Nyota Ndogo says that  being single for long should not be the reason to get desperate for a relationship.

She also added that people should learn from her story and be  very careful.

Have a look at her full posts on Instagram

 

View this post on Instagram

Niwape story ndefu kunihusu.nilikua single na watoto wawili but kwa nyumba yangu na mali zangu zengine.so maisha yangu yalikua ni mimi mziki na watoto wangu na japo kuna wakati nilikua najiuliza nitakuja kupata mwanamume anipende nilivgo kweli?Ama anipende na watoto wangu kweli?nilikua najiona mybe ninakasoro flani but sikujua kasoro yenyewe zaidi ya sura mbaya.yani kuambiwa nina sura ilinifanya nijishuku mybe ndio maana nipo pekeangu.but haikunisumbua kua single.so kuna mtu nilijaribu kudate hatukumaliza hata mwezi akaniomba hela nyingi eti ameandikwa kazi na ni yeye ndio anaeleta wateja kazini kwaivyo anahisi nikimpa hela akifungua biashara atawakusanya wateja wote kwake.alitaka 350k nikamwambia sina akasepa nakusema hawezi kua na mtu ambae hawezi kumsaidia akiwa na shida.so nikachukulia huyu alikuja kwaajili ya pesa sio love.nikaamua nitalea wanangu bila mwanamune.so nikawa nikitongozwa najua nadanganywa so ningumu kuingia box.nikakaa mda bila kufikiria kuna mtu anaitwa mwanamume.one day rafiki yangu tunae heshimiana akanipigia simu akaniambia nyota nipo na stress nataka nije nipumzike voi naweza kuja kwako?nikamwambia anytime maana nilikua na nyumba ya 3bedrooms na watoto wawili tu.na mgeni mwenyewe alikua ni mwanamuna sana na mimi namueshimu kama mkubwa wangu. Aliniambia siku anayokuja nikamtaarishia rumu yake wakati huo milango sijaeka kila room inapazia tu so siku alipokuja nikamuona kaja na mwenzake mwanaume pia so nikajiuliza mbona hakuniambia anakuja na mtu nijipange but nikasema washafika haina neno.sasa huyu mwenzake alikua kama muamerika vile kizungu chakiamerika alivyobeba begi kiyoyoo.so wakaingia wakanisalimia huyu muamerika wakanisalimia HOW A YOU DOING NIKAMJIBU FINE.so nilitengeza food wakala tukatia story but huyu muamerica alikua anaongea kizungu tu.ikafika jioni nikawapikia chakula cha jioni wakala tukaanza story tena watoto walienda kulala.ilifika time nasinzia but uwezi kuwacha wageni wewe ukalale so yule rafiki yangu akasema anaenda kulala but huyu muamerica akabikia sittingroom tu nikamuuliza uendi kulala akasema ataenda akisinzia but kwa sasa yupo ok.nikaenda jikoni nikaanza kuonya vyombo couse sikutaka nikalale nimuache.mara dakika

A post shared by nyota ndogo (@nyota_ndogo) on

 

View this post on Instagram

2.mara dakika kidogo namuona kanifata jikoni nikamuuliza unaitaji chochote akaniambia hapana nataka niongee hisia zangu kwako.tena NAKINGEREZA.akaanza hivi TANGU NIMEINGIA KWA HII NYUMBA NILIVYOKUONA TU NILIFALL INLOVE NA WEWE. TUMESHINDA PAMOJA BUT NIMESHINDA NIKIKUANGALIA WEWE YANI SINGLE MUM NYUMBA KUBWA NA HAUNA MUME HAO WAUME HAWAJUI THAMANI YA MKE MWEMA .MIMI NIMEKUONA LEO MALAIKA YANISISIMKA NIKUBALI TU NIWE WAKO NA SITAKUUMIZA NA UKIKUBALI MIMI HATA KESHO NAPELEKA MAHARI KWENU.so I was like what ?noo sikujui kisha sina plans zakuolewa kwa sasa akaanza kulia plz plz plz nikaanza kujiuliza huyu katumwa na huyu mgeni wangu nini.nikaingiwa na uoga sana maana nyumba kubwa sehemu bedroom ipo huyu hata akiniziba mdomo Nanirepu tu.nikaanza kutetemeka akaongea akaenda kulala.nilikaa pale sitting naogopa kulala maana nyumba milango pazia soo nikampigia jirani simu alikua na watoto wakubwa na miili mikubwa nikamwambia naomba watoto wako waje walale kwangu naogopa nikamuelezea kwasimu vijana wakaja wakaniambia wewe lala sisi hatulali twakulinda tutakua kimya tu kwa bedroom ya mbarak.so walikaa siku mbili kwangu but nilimuogopa couse alikua ananiangalia kwa macho ya mahaba. So siku zote mbili wale watoto walilala kwangu.alipokua wanaondoka aliomba number zangu but yule rafiki yangu aliekuja nae alisema usimpe mimi nitampa akamwambia wacha kusumbua nyota twende nitakupa.akasema why asinipe mwenyewe plzz I need your number plzzz I will call you we talk more so sikumpa number na alipokwenda zao sikumsikia tena.one day nilienda show ya tusker project fame nilikua moja ya watu wanaopafomu mara nikamuona yule rafiki yangu anaingia kidogo huyu mwenzake nyuma yake ameshikilia wanawake waliovaa nusu uchi kama watano yeye kajaza bling bling shingoni nikawasalimia jamaa aliponiona akanifata mbio huyu rafiki yangu akamvuta awachane na mimi nipo kazini.so nilifanya kazi sikumuona tena .baadae nikaja kuambiwa kua anaambukiza wanawake ukimwi na akikutaget lazima akupe tu.so nikama aliumia roho sana kunikosa so hakunitaka alitaka kuniambukiza ukimwi tu.one day nikaja kuskia mtu flani maharufu amekufa na umaharufu wake ulikua wakuwambukiza ukimwi so picha ya R.I.P ndio niilimjua kafa

A post shared by nyota ndogo (@nyota_ndogo) on

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *