Nyakundi gets a taste of his medicine

Image result for victoria Kimani instagram

It all started early this week after blogger Nyakundi attacked Kenyan singer and Songwriter Victoria Kimani for apparently hanging out with madam boss Akothee.

According to Nyakundi Victoria is not supposed to hang out wit Akothee but instead look for someone to marry her.

Well Victoria Kimani had not said anything regarding the post but she has not forgotten, taking to her instagram page Victoria said, Nitakua mwanamke wa aina gani kama kama sita ongea mambo yanayo tuumiza sisi kisaikolojia,kiroho na kimwili.Mtazamo wa jamii yetu kwa wanawake unahitaji kubadilika.

Kuanzia wauguzi wakike, wafanyi kazi wa nyumbani, waalimu, wafanyi biashara, wanasiasa, waburudishaji, wamiliki wa biashara, matajiri wanawake, maskini wanawake, wamama, madada.. watoto wakike, na hata mtoto wa kike akiwa tumboni mwa mamake…..
Kulingana na watu wachache wenye akili finyu, wanawake wote wako sawa!!
Mbona usinihukumu kwa matunda ya kazi yangu, au kwa mienendo ninayo-ionyesha katika Maisha ya kila siku? Mbona usinihukumi kwa hilo badala ya kunihukumu kwa maovu??
Hata mwenyezi mungu, ambaye mwanawe Yesu Christo, aliwaambia wanaume waliotaka kumtupia yule mwanamke Malaya mawe , ya kwamba; “asiye na dhambi, miongoni mwao, awe wa kwanza kutupa jiwe!
Athari za kutowaheshimu, wanawake tunaowajua, na tusiowajua, ni kwamba tunaifundisha jamii, nama ya kuwachukulia dada zaka, na mamako!

Image result for akothee victoria
Sitatukana family yako, wala watu unaowapenda, kwa sababu, nina uhakika unafahamu uchungu wake!
Je, unafahamu kwamba, mimi ni mtoto wa mtu, dadake mtu, na kama kioo cha jamii, kuna wanawake wengi, ambao, wananiangalia kama kielelezo kwao?
Natumia muziki wangu kuhamasisha mabadiliko katika kizazi changu na kizazi kinachokuja.
Mashairi yangu, yanawapa wanawake motisha, na naongelea chnagamoto tunazopitia Maisha yetu kama wanawake.
Dhana uliyoileta kwetu, ni za kiubaguzi kwa wanawake, ni za kukera, na kutia kichefu chefu, na zinavunja moyo.
Nimeongea katika jukwaa la umoja wa mataifa (United Nations) kuhusu umuhimu wa wanawake kua na sauti katika jamii yetu.
Na fanya kazi kwa bidi, sijawahi kuwa na sugar dady, na siwahukumu wanaofanya hivo.
DNaomba, nafunga , na naweka nguvu zangu zote katika muziki wangu, na napenda ninachokifanya.
Siko hapa kukudhalilisha, bali niko hapa kukuinua.
Cyprian Nyakundi Sikuwahi kukujua, mpaka uliponitaja mimi na mmoja wa marafiki zangu wa karibu Akothee.
Lakini nafurahi kujuana na wewe mtandaoni.
Kunijua, ni kunipenda, na pia ni kuniheshimu mimi, na juhudi zangu za kimaisha.
Namtakia kila anayesoma huu ujumbe Amani na Furaha!
#NOTFORSALE VIDEO OUT TOMORROW ! Respect the Woman.”

View this post on Instagram

Nitakua mwanamke wa aina gani kama kama sita ongea mambo yanayo tuumiza sisi kisaikolojia,kiroho na kimwili.Mtazamo wa jamii yetu kwa wanawake unahitaji kubadilika. Kuanzia wauguzi wakike, wafanyi kazi wa nyumbani, waalimu, wafanyi biashara, wanasiasa, waburudishaji, wamiliki wa biashara, matajiri wanawake, maskini wanawake, wamama, madada.. watoto wakike, na hata mtoto wa kike akiwa tumboni mwa mamake….. Kulingana na watu wachache wenye akili finyu, wanawake wote wako sawa!! Mbona usinihukumu kwa matunda ya kazi yangu, au kwa mienendo ninayo-ionyesha katika Maisha ya kila siku? Mbona usinihukumi kwa hilo badala ya kunihukumu kwa maovu?? Hata mwenyezi mungu, ambaye mwanawe Yesu Christo, aliwaambia wanaume waliotaka kumtupia yule mwanamke Malaya mawe , ya kwamba; “asiye na dhambi, miongoni mwao, awe wa kwanza kutupa jiwe! Athari za kutowaheshimu, wanawake tunaowajua, na tusiowajua, ni kwamba tunaifundisha jamii, nama ya kuwachukulia dada zaka, na mamako! Sitatukana family yako, wala watu unaowapenda, kwa sababu, nina uhakika unafahamu uchungu wake! Je, unafahamu kwamba, mimi ni mtoto wa mtu, dadake mtu, na kama kioo cha jamii, kuna wanawake wengi, ambao, wananiangalia kama kielelezo kwao? Natumia muziki wangu kuhamasisha mabadiliko katika kizazi changu na kizazi kinachokuja. Mashairi yangu, yanawapa wanawake motisha, na naongelea chnagamoto tunazopitia Maisha yetu kama wanawake. Dhana uliyoileta kwetu, ni za kiubaguzi kwa wanawake, ni za kukera, na kutia kichefu chefu, na zinavunja moyo. Nimeongea katika jukwaa la umoja wa mataifa (United Nations) kuhusu umuhimu wa wanawake kua na sauti katika jamii yetu. Na fanya kazi kwa bidi, sijawahi kuwa na sugar dady, na siwahukumu wanaofanya hivo. DNaomba, nafunga , na naweka nguvu zangu zote katika muziki wangu, na napenda ninachokifanya. Siko hapa kukudhalilisha, bali niko hapa kukuinua. Cyprian Nyakundi Sikuwahi kukujua, mpaka uliponitaja mimi na mmoja wa marafiki zangu wa karibu Akothee. Lakini nafurahi kujuana na wewe mtandaoni. Kunijua, ni kunipenda, na pia ni kuniheshimu mimi, na juhudi zangu za kimaisha. Namtakia kila anayesoma huu ujumbe Amani na Furaha! #NOTFORSALE VIDEO OUT TOMORROW ! Respect the Woman.

A post shared by victoriakimani (@victoriakimani) on

 

Her counter part, Akothee’s exchange with Nyakundi has gained lots of traction as the two continue to lecture each other on social media.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *