Wabunge wachangia Sh milioni 32 kwa mwanamke aliyejifungua mapacha wanne

Wabunge  wamechanga zaidi ya Sh.Milioni 32, kwa ajili ya mwanamke Radhia Solomon ambaye alijifungua mapacha wanne…

Mume na mke wahukumiwa kulipa faini ya Sh milion 20 kwa kuajiri raia wa nje bila kibali

Mkurugenzi wa kampuni ya Biabana, Anna Kristina Edler, (54) na mumewake, Anders Svensson 58 wamehukumiwa kulipa…

Kesi ya kwama, mahakama yashindwa kulipa mashahidi

Upande wa mashtaka katika kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia…

Ujenzi wa reli ya kati umefikia asilimia 47

  Serikali imesema ujenzi wa reli ya kati ya kisasa (SGR) awamu ya kwanza kutoka Dar…

Waziri atangaza neema kwa wakulima wa mahindi

  Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga ametangaza neema ya kuanza kununua mahindi nchini kutokana na kupata…

Nape arusha jiwe angani sakata la korosho

Siku moja baada ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole,…

Waziri Mkuu: Wanaodai korosho kulipwa mwaka huu wa fedha

Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa, amesema wakulima ambao hawajalipwa malipo ya korosha serikali itaanza kulipa fedha hizo…

Polepole:Wabunge wanaochonga mchakato wa manunuzi ya korosho hawataliona bunge la 2020

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, ameeleza kuna wabunge wa…

Mifuko mbadala yawa dili kupatikana

Ikiwa leo ni siku ya kuanza matumizi ya mifuko mbadala, bidhaa hiyo imekuwa ni changamoto kuipata…

Idadi ya wagonjwa wa kipindupindu yaongezeka Dar

  Moja ya sababu iliyotajwa ya kuwepo kwa wagonjwa wengi wa Kipindupindi katika Wilaya ya Temeke…

Kauli ya Makonda kuhusu IST yaendeleza gumzo mitandaoni

Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, yazua utata katika mitandao ya…

Mwanamke aliyejichana tumbo na kumtoa mtoto azua gumzo

Sakata la mwanamke Joyce Kalinda (30) kudaiwa kujichana tumbo na kitu chenye ncha kali na kumtoa…

Aliyefufua kaburi la baba yake aendeleza sinema

  Maajabu yazidi kujitokeza katika sakata la kijana, Joseph Salum (28) ambaye alifukua kaburi la baba…

Mwanaume aliyempa mimba mwanafunzi wa darasa la nne bado hajafahamika

Mwanaume aliyempa ujauzito mwanafunzi wa darasa nne mwenye umri wa miaka 11 ambaye aliacha shule baada…

Idadi ya vifo yaongezeka ugonjwa wa Kipindupindu Dar

Licha ya serikali kufanya jitihada mbalimbali katika kupambana na ugonjwa wa kipindupindu idadi ya vifo imeongezeka…

Serikali:Watumishi wanaopatiwa vocha kutakiwa kutumia laini ya TTCL

IKIWA siku chache tangu Rais John Magufuli kutoa mwezi mmoja kwa ofisi yake na wizara mbalimbali…

Mashahidi katika kesi ya vigogo wa TPDC washindwa kufika mahakamani

Kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayowakabili vigogo watano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania…

Nyalandu ashangaa silaha kutumika kumkamata

Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, asilimulia jinsi walivyokamatwa na watu wenye silaha…

Mchina mbaroni kwa kukamatwa na mashine feki 1000

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata mashine haramu 1,006 za michezo ya kubahatisha zilzokuwa zinailikiwa na…

Lusekelo: Hakuna haja ya chaguzi wa serikali za mtaa

Askofu wa Kanisa la Maombezi la Gospel Riverval Center (GRC), Antony Lusekelo, maarufa kama Mzee wa…

Bei za taulo za kike bado hazijabadilika sokoni

    Wizara ya Fedha na Mipango imesema licha ya serikali kuchukua hatua ya kuondoa kodi…

Serikali imesema kuku wa kizungu hawaongezi kitambi

Serikali imesema hakuna utafiti wa kisayansi unaonyesha kuku wa kizungu(Broilers) wanashida katika afya za binadamu ikiwemo…

Baba afikishwa mahakamani kwa kumbaka mwanae

    Mkazi wa Mbezi Juu Said Rashid (36), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni…

Waziri Mahiga akiri serikali kusitisha mikataba ya wawekezaji

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk.Augustine Mahiga amesema serikali imekuwa ikisitisha mikataba ya wawezaji kutokana na…

Upande wa utetezi wataka upelelezi kukamilika katika kesi ya Kisena

    Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar…

Udahili wa wanafunzi wa kada ya afya wasitishwa

BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), limefungua udahili wa wanafunzi wa ngazi ya astashahada…

Nyalandu apata dhamana

  Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amepatiwa dhamana pamoja na wenzake wawili kwa masharti…

Nyalandu atafutiwa dhamana

Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, anatafutiwa dhamana kwa sasa baada ya kukamatwa…

Anayedaiwa kumteka MO afikishwa mahakamani leo

DEREVA Taksi ambaye ni Mkazi wa Tegeta , Mousa Twaleb (46), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu…

Samia agoma kuongeza muda katika matumizi ya mifuko ya plastiki

Makamu wa Rais, Samia Hassan Suluhu amesema serikali haitaongeza muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki…