Nataka kufanya usajili ambao utakuwa na tija-Zahera kuhusu usajili wa Ndemla

Kufuatia tetesi nyingi kuhusu usajili wa kiungo wa klabu ya Simba Said Ndemla kuhusishwa kujiunga na…

Ligi Kuu Bara imemalizika rasmi leo, zilizoshuka, zitakazocheza play Off hizi hapa

Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo imefika ukingoni rasmi ambapo Simba wamekabidhiwa rasmi ubingwa wa baada…

Usajili wa Ndemla, Yanga umefikia hapa

KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Simba, Said Hamisi Ndemla, amesema kwa sasa akili yake ameelekeza kucheza…

Mwana FA, Roma Mkatoliki warusha jiwe gizani suala la ufuturishaji

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA amerusha jiwe gizani kwa…

Harry Kane yuko tayari kuwavaa Liverpool fainali UCL

Nahodha wa Tottenham na Timu ya Taifa ya England Harry Kane amethbitisha kupona majeraha yake na…

Yanga kushusha ‘mashine’ ya Kinyarwanda

Inaelezwa kuwa kocha mkuu wa klab ya Yanga, Mkongomani Mwinyi Zahera yuko katika mipango ya kuwania…

Breaking news: Nyalandu akamatwa na TAKUKURU Singida

Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu amekamatwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzui Rushwa (Takukuru)…

Huu ndiyo muda wa mchezo kati ya Mtibwa na Simba baada ya ratiba kubadilishwa

MCHEZO wa mwisho kesho wa ligi kuu kati ya Mtibwa Sugar na Simba utakaochezwa uwanja wa…

Mwinyi Zahera bado amganda Mkude

Hiki ni kipindi ambacho macho na masikio ya mashabiki na wapenzi wa soka la Bongo hususan…

Naibu Waziri Aweso aangua kilio Pangani

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji na Mbunge wa Jimbo la Pangani Jumaa Aweso ameangua kilio mbele ya…

Babu wa Loliondo aibuka, aitabiria mazito Tanzania

Jina la Babu wa Loliondo ni moja ya majina ambavyo yalipata kuvuma sana miaka kadhaa iliyopita…

Okwi amewaaga mashabiki wa Simba? soma alichokiandika hapa

‘Baibai’ ni neo ambalo mara zote limekuwa likiacha huzuni kila sehemu ambapo mtu amekuwepo kwenye kipindi…

Tetesi: Hii hapa mpya kuhusu Kahata kutua Simba

Hivi karibuni kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu kiungo mahiri wa Gor Mahia Francis Kahata kutua kunako…

Kingue Mpondo, Chirwa waidindia AZAM FC,

Inaelezwa kuwaa Kiungo Mcameroon wa Azam FC, Steven Kingue Mpondo ni kama amegomea mkataba mpya ndani…

Mustakabali wa Kwasi ndani ya Simba ‘wasiwasi’

Beki wa kushoto wa Simba Mghana Asante Kwasi, ameonesha dhamira ya kuendelea kubaki kwenye klabu yake…

Hii ndiyo orodha ya wachezaji 14 wa Yanga ambao mikataba yao imekwisha

Changamoto kubwa inayowakabili viongozi wa Yanga kwa sasa ni kuhakikisha wachezaji wao wote waliomaliza mikataba wanapewa…

MESSI bado anaiota Liverpool, hana raha na kiatu cha dhahabu

Mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya msimu huu wa 2018/19 kati ya Liverpool na FC…

Harmonize amgusa Zamaradi, Naye ashusha shukrani zake

Nyota wa muziki wa Bongo Fleva kutoka kundi la WCB, Harmonize amesema anafarijika sana kuona watu…

Robert Kidiaba alamba shavu serikali ya DRC, ateuliwa kuwa Waziri

Kipa wa zamani wa timu ya taifa ya soka ya DRC na klabu ya TP Mazembe…

Baada ya kimya kirefu, Sugu ametangaza muda rasmi wa kustaafu

Joseph Osmund Mbilinyi maarufu kama Mr Two, 2 proud au Sugu ni mkongwe katika muziki wa…

SABABU ZA THERESA MAY KUTANGAZA KUJIUZULU HIZI HAPA, WARITHI WAKE WATAJWA

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Theresa May,  ametangaza kujiuzulu wadhifa huo leo, Ijumaa, Mei 24, 2019, kutokana…

Harmonize amuomba radhi baba yake. Aahidi kutomwangusha

Msanii kutoka kundi la Wasafi Harmonize amemuomba radhi baba yake mzazi kwa kuamua kujiingia kwenye tasnia…

Diamond amwaga sifa kwa Harmonize, atoa ushauri kwa wasanii wenzake

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize, kutoka WCB, jana Alhamisi, Mei 23, 2019 aliandaa hafla ya kufuturisha…

Mashabiki wamcharukia Harmonize kutambulisha wimbo wake kwenye tukio la kufuturisha

  Limekuwa ni jambo la kawaida kwa watu mbalimbali maarufu na wasio maarufu, matajiri na wenye…

Unashangaa Salamba kuomba viatu vya Banega? Ona hawa walivyomganda Gaucho

Mshambuliaji wa Simba Adam Salamba jana alionekana katika televisheni akiomba viatu kwa nahodha wa Éver Banega…

Hatima ya Amissi Tambwe Yanga haijulikani

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe mpaka sasa hatima yake haijajulikana, hii ni kwa mujibu wa vyanzo…