Bili ya hoteli ya Betty Kyallo yazua gumzo mtandaoni

Image result for betty kyallo

Mtangazaji wa habari wa runinga ya K24, Betty Kyallo amezua gumzo mtandaoni baada ya kuweka hadharani pesa alizozitumia kununua mlo.

Betty Kyallo ni miongoni mwa watu maarufu wanaoaminika kuwa na maisha mazuri na pia pesa za matumizi nyingi kulingana na mtindo wa maisha yake.

Lakini kinyume na hiyo, amewashangaza wafuasi wake baada ya kuweza wazi risiti iliyobeba pesa alizozitumia kwenye hoteli.

Since guys are always bragging about bills in the club🙄🙄🙄🙄 cheki vile nimechafua my peeps! 😂😂😂😂😂😂

Posted by BETTY KYALLO on Monday, 5 August 2019

Aliweka picha hiyo akisema.” Kwa sababu mmekuwa na kiburi sana kuhusu bili zenu, angalieni nilivyovitumia na marafiki zangu”.

Picha hiyo ya risiti imesisimua mtandao na haya ni baadhi ya maoni yao;

Iraitoh Joesse Kula Fry ng’ombe ya sh600 na kuku stew ya sh270 total sh870,, upate cancer ukufe uchomwe apo Kariokor na mhindi kwa sh5000! Hope io volume iko sawa!

Chelsean Dominic Ur Ex has been busy doing research on poisoned meat yet wewe unanunua tu ? No wonder mkona vitambi

Chris Evans Laughing GIF by mtv

Christine Anyango Usiwahi jaribu kuorder “ng’ombe” Nyeri,utaletewa cabbage, waru,carrot na tunyama pieces kidogo na thufu kama river Chania

Ken Kosgei Ndo maana 001 hajawahi konda mpka wa leo🤣🤣🤣

the office lol GIF

Myche Willie Hiyo ng’ombe ni mzima ama ni Matumbo yake?

Okindo Justus How on Earth can you take more chapati with fry ngombe than ugali?

leonardo dicaprio laughing GIF

Caren Akoth You ate a whole cow?😱 ama hiyo ngombe fry ni nini?

Sir-Desmond DeDesmodiumda Ngwili GoodNews Betty hio bill ni kidogo sana. Hio ni packet mbili tu za condom aki 🤣🤣

That 70S Show Lol GIF by reactionseditor

Charo Jefwa Umekula pekeako yote hyo…….kweli haujengwi na mbao

Nicholas Kaitano Iyo ni saa tatu na mtu anakula kama lunch waaa ati 1240/- iyo ni one month shopping, I’m not convinced that you can be married

Csay K. Wesley 🤣🤣🤣be serious kiletu aki!!. Unamaanisha ati uliserviwa chapati,ugali,samosa,nyama,thupu ya kuku,soda ya coke,na chai at the same time na ukakubali?.I can imagine venye ulikaa ukitoka hapo,uuuuihhh hahahaha 🤣🤣🤣🤣

mood lol GIF

Mandela William Hahahah like u did it by ur self bila kusaidiwa?

Sam Mariah So unataka aje? Tukuonyeshe Choo ama?

Evangelist Eman Hii ni fare ya kwenda restaurant pekee.

Samuel Moxaix Hahaa Betty unafyeka sembe saa tatu asubuhi

Say Word Laughing GIF by Desus & Mero

Emmanuel Chirchir Nani huyu alikula samosa kwa Soda?

Frida Chebet Betty uligongwa hapo Kwanza kwa chapo,samosa kwani ni za nini na ugali should never be more than 40 two plates none negotiable

Muntari Boss 🤣🤣🤣🤣🤣 Kuja nakuru madam, tutaenda pamoja sarova hotel, utajua hujui, wanauza paka mifupa ya kuku na bei ya all tanzanian money including makufuli and his government 🤣🤣🤣

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *