Netizens roast Diamond’s mother for flossing with her husband

Image may contain: 1 person, sitting

Diamond Platnumz mother, famously known as mama Dangote, has been making headlines since she got married to a younger man than her.

Many are times she has been warned by her fans to be cautious since her husband was attracted to her for the fame she receives from her son, Diamond.

Image may contain: 1 person, sitting and indoor

Netizens trolled her after she made a post of her and her husband captioning it; “Mume wangu.”

Here are some of the reactions towards the post;

luludivtz

Kha!! yamekuwa matangazo Nani hajuhi kuwa ni Mmeo

samsonfaraja

Huyo kiben ten tyuπŸ˜€πŸ˜€ mumeo ba dangote

Funny Smile GIF - Funny Smile Best GIFs

ruqaiyer360

Mnapendaaaa eeeh….eeeeh mnapostiana , ankutoa toa eeeh nasemajeeeeee mtaaachaaaaaaaanaaaaaaaa tuπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’ƒ

quen_tarimo

Et mange anasema huna mayai blid imekataπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ryan Gosling Laugh GIF - RyanGosling Laugh Laughing GIFs

tatyannahjulie

Ebu uliza uyo mume wako hataki kuitwa baba

anita_mwanza

BIBI AGA, πŸ€”JUST REMEMBER HE’S THERE FOR THE MONEY AND LIFESTYLE YOU GIVE HIM. FULL STOPπŸ™ŠπŸ™‰πŸ™ˆπŸ‘ŽπŸ½πŸ‘ŽπŸ½πŸ‘ŽπŸ½πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”

Spit Take GIF - Spit Take Laughing GIFs

princess_sex_gath

Kweli mume wako hakuna anaebisha πŸ‘Œ

fancy_barbie1

Sio wako peke ako🀣🀣🀣🀣halooooooo fanya ukamuone mjukuu sasa

Lol Hahaha GIF - Lol Hahaha Lmao GIFs

mamaa_meme_eshop

Kwaraha zakooo

joseph.luhuwa

Cjawahi kuona hawa watu wakipost hata jumbe zuri,wao kila siku mapenzi tu kama wanajifunza au ndo ulimbukeni sasa

Rolling On The Floor Laughing GIF - RollingOnTheFloor Laughing Emoji GIFs

tricia_officially

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚tukomeshe wambea

glory_kinyunyu

Nacheka kama mazuri dadekiii bibi kashikwa patamu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mwanamke jeuri zaa na mumewe🀣🀣🀣

Laughing Funny GIF - Laughing Laugh Funny GIFs

mchangamshaji

Hihihiiii uwiiiiiiiiiiiiii mzalie basi

makya7mi4

Tusio na waume tumekwamia wapi? πŸ˜‚

Laughing Babies GIF - Baby Toddler Laughing GIFs

makya7mi4

Tusio na waume tutaambia nini watu?? πŸ˜‚

udaku_wa_kipusaa

Sema Mume wetu sio mume wakoπŸ˜€

Shirley Temple Lol GIF - ShirleyTemple Lol Laugh GIFs

judithjohnntani

Iyo inaitwa ni wako akiwa kwako akitoka nje cha wote unataka uwe peke yako kwan ww mchawi? ata mchawi anawanga na wenzie

 

View this post on Instagram

 

Mume wangu @iam_rally_jones πŸ’ž

A post shared by Sandrah…! (@mama_dangote) on

sumayakhalfan

Nakuomba kwahisani yako mama acha haya mambo hujaendana nayo kabsaa ww ni m2 mzima kumbuka hilo kichwani mwako acha kujitoa akili kiasi hiko ikiwa ni mumeo au sio mumeo au ameonesha cheti jua ashazaa na mwanamke mwingine na mpaka jina mtoto kafunguliwa la Insta ss unajidhalilisha nn..?? Hebu kaa ujiulize swali 1 ungekua ww co mama ake Diamond mwenye jina kubwa na vijihela huyo Shamte angekufata Tandale akakuoa kibibi kama ww..?? Acha upumbavu na kujitoa akili Shamte yuko na ww kwasababu una jina flani ktk jamii lkn co kwasababu anakupenda hapana hyo futa tangu lini mvlana mdogo akapenda mtu mzima tena wewe co mtu mzima ww ni kibibi kizee kabsaaa mjinga ww na Shamte amekaa anasema ww mtamu na ww unasapot ujinga wakusanifiwa na mwanamme mm nilijua ww akili za kusoma huna kumbe hadi akili za dunia pia huna.. bibi kizee kama ww ukagombanie mwanamme mtandaoni hv ww umechanganyikiwa au..?? Unaskitisha hakyamungu unahitaji dua haraka sana au utakua zezeta.. watu wanamcheka baba ake Diamond hajielw kumbe hawajui ww ndo zumbukuku ulimwengu uko huku hujielew kabsaaa wallah bibi kizee kama ww ukagombanie mwanamme mtandaoni mungu aniepushe nikifika umri kama wako nishike mswala niswali nisije kuwaonesha wanangu wala wajukuu zangu upumbavu kama huu ww kweli punguwani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *