Kwa nini mchungaji Bugingo alikamatwa?

Bujingo alikamatwa asubuhi ya leo alipokuwa akijiandaa kuongoza huduma ya Jumapili kanisani pake Makerere Kikoni.

Bujingo aliwekwa kwa gari la polisi na maeneo ya maombi yamezungukwa na Polisi na Jeshi ya Uganda.

Mchungaji huyo amekuwa na shia ya kifamilia na amekuwa kwenye vichwa vya vyombo vya  habari kwa kutaka kumtaliki mkewe ambaye amekaa na yeye miaka 29.

Image result for pastor bugingo

Maneno kwenye mitaani inasema kuwa mchungaji ameiinyakulia mwanamke mrembo na ndio maana anataka kutoa talaka.

Lakini mbona alikamatwa? Polisi walisema kuwa Bujingo hakukamatwa ila usalama uliwekwa kwenye kanisa lake.

Siku tatu iliyopita, Bugingo aliweza kutoa siri zake za ndani aliposema kuwa bibi yake anaugua na hajafanya mapenzi nae kwa miaka kumi sasa.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *