Mambo ya bwana mkunaji kumbe ni hadithi tu? Willy Paul amlilia Alaine

 

Image result for willy paul and alaine

Bwana mkunaji ama kwa jina la kisanii Willy Paul ameelezea jinsi alivyokerwa na rafiki wake wa karibu, msanii wa Jamaica, Alaine.

Willy Paul ameamua kufungua roho na kuonyesha vile amekuwa akipuuzwa na msanii huyo wa kike.

Msanii wa injili anasema kuwa Alaine amekuwa akimpuuza kwa muda sasa na hii ilidhihirika siku ambayo alifika nchini bila ata kumsemezea wala kumtafuta.

Itakumbukwa kuwa Willy Paul na Alaine waliunda msingi wa urafiki wao miaka chache iliyopita walipofanya mziki wa pamoja kwenye ‘I do’ ambayo ilikuwa mziki mkubwa Afrika ya Mashariki haswa kwa maharusi.

Wafuasi wao wamekuwa wakiamini kuwa urafiki wao ni mkubwa haswa walipoonekana kwenye picha za hivi karibuni walipokutana na kuonekana wamejawa na furaha.

Lakini Pozze amekiri kuwa mambo hayako sawa vile maanake Alaine amemtoa kwenye simu yake na hakuna mawasiliano kati yao.

“Siku hizi haushiki simu yangu, nakutumia ujumbe lakini haunipi jibu lolote. Nimekukosea kwa jambo lolote lile? Hapana, sidhani ni hivyo, majuma yaliyopita ulifika Kenya na hukunitafuta wala kunisemezea,” Willy Paul alilaani.

Je kunaweza kuwa kumetokea msukosuko mahali?

Willy Paul anaamini Alaine alisikia na kujionea ukaribu wa Nandy na Pozze akafikiria wawili hao wanachumbiana kitu ambacho msanii wa injili amekana.

Image result for willy paul alaine nandy

Aliweka wazi kuwa wawili hao ni marafiki wa karibu tu na hakuna kinachoendelea kati yao mbali na biashara.

Nandy amekuwa akionekana na Willy Paul wakifanya matamasha ya kufana na michezo yao ya ‘Sellina’ kwenye jukwaa si wa kiinjili ata kidogo bali ni ya kidunia kitu kilichofanya wengi kushuku uhusiano wao.

Willy Paul ameomba wafuasi wake kumsaidia kupitisha ujumbe kwa Alaine kwamba yeye ameathirika sana na kimya chake.

Kwa hiyo ni sawa kusema mambo ya mkunaji ni hadithi tu?

 

View this post on Instagram

 

Alaine, we were so good together dear, to be honest meeting you was the best thing ever coz it was like a dream come true.. when u see a man admitting to such, that’ means something big. I woke up today feeling some type of way, you use to like my pics and comment on them.. nowadays I call you and you dont pick.. you dont even reply to my messages.. tell me have I wronged you in anyway? No I dont think so, like I said, i had so much hope in this.. you came to Kenya the other day n didn’t bother looking for me, I was forced to look for you.. what happened after that?? You blocked me.. mmmmh the reason I’m writing this here is for the world to atleast help me get this message to you.. my mum keeps asking me where you disappeared to. But I’m glad you like one of my posts the other day.. maybe that’s a sign. Plus one more thing, there’s a female artist from Tanzania by the name Nandy. Me and her are just friends…. nothing more… that shouldn’t even worry you dear.. Madam boss please talk, unblock me, this silence is killing POZZE, you know who ur legit king is.. Help me fam.. get this message to her @alainesinga

A post shared by W.I.L.L.Y.P.O.Z.Z.E (@willy.paul.msafi) on

Haya ni baadhi ya maoni ya wauasi wake;

31_.savage._Ningekuadvice umwimbie love song kama The weeknd lakini hunanga content πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jitie kitanzi tuπŸ˜‚

charleswahinya_Stick toΒ @officialnandy. Be wise πŸ˜‚

_j.o.s.e.6.0_@willy.paul.msafiunataka kula your ancestor home and away si ujiheshimu boiizπŸ˜‚

_j.o.s.e.6.0_kube pia wewe hunyimwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

dailybuzzkeSo hii fom ya mkunaji inakuaga stories tuπŸ˜‚

nicko_gola Bwana Mkunaji tulifikiria we ni fundi mwenye slow motion πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *