Jalang’o afichua ni kwa nini Bob Collymore alimnunulia suti ya kijani

Image result for jalang'o green suit

Mcheshi Jalang’o  anayejulikana kwa utani wake na zaidi suti yake ya kijani ambayo ni alama yake ya biashara.

Blousi yake yenye alama ya Duma au ‘Cheetah’ imekuwa ikimwakilisha kwenye kazi zake za ucheshi na za kusimamia masherehe.

Hata hivyo, suti yake ya kijani ambacho kinajulikana na wengi wa wafuasi wake, Jalang’o amefichua chanzo cha suti chake ambacho kinamwakilisha.

Wakati nchi inapoomboleza kuaga kwake kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Safaricom Bob Collymore, Jalang’o amesema kwamba ilikuwa wazo la Bob na pesa ambazo zilifadhili suti yake ya kwanza ya kijani. Kulingana na Bob, mbali na alama ya shati, bosi huyo aliamini kuwa Jalang’o ataonekana bora katika suti na hata aliendelea na kumnunulia suti ya kwanza.

“Shati iliyochapishwa na duma ilikuwa alama yangu ya biashara mpaka siku moja Bob alitembea akanipata nyuma ya jukwaa katika shughuli za Eldoret CSR na akaniuliza ni kwa nini kila mtu amevaa mavazi mazuri mbali na mimi, nikamwambia ni kwa sababu ya tabia yangu ambayo kisha akasema unafikiria unaweza kuonekana vizuri kwa suti? Nilicheka lakini kisha akauliza @ 56authentique ambaye alikuwa akituvalisha wakati huo kunipatia suti ya kijani..nilipenda na kama wanavyosema wahenga, na mengine ni historia.”

Hakuna mwenye amewahi jua ni kwani Jalang’o alichagua rangi ya kijani lakini amefichua kwamba sio kijani tu bali ni Kijani ya Safaricom.

 

View this post on Instagram

 

DID YOU KNOW THAT ITS BOB COLLYMORE WHO ADVISED AND GOT ME MY FIRST GREEN SUIT? When Safaricom started its second leg of Niko Na Safaricom Live I was selected to host the concerts in the whole country, then I used to wear my cheetah printed blouse ( it’s a blouse not a shirt ) and any other trouser I got…the cheetah printed shirt was my trade mark until one day Bob walked back stage at the Eldoret CSR activity and asked me why everyone dressed up and had good costumes apart from me, I told him it’s because of my character which he then said dont you think you could look better in a suit? I just laughed but then he asked @56authentique who was dressing us that time to get me a green suit..I liked it and as they say the rest is history! I have since made the green suit my signature look without telling anyone that’s its Safaricom green!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 I actually asked him what if I was to host any other event whose colour is not green? “Just tell them it’s your look 🤣🤣🤣🤣 I have made several other green suits because of change in size🤣🤣 but I have kept the first one for the memories!! I wear the green suit in most events mostly when the client colour is green!! Thank you Bob. RIP.

A post shared by JALANG’O (@jalangoo) on

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *