Bobi Wine, mashabiki wake wahofia promota kufungwa baada ya kukubali makosa

Image result for andrew mukasa pleads guilty

Bosi wa Bajjo eventz ambaye pia ni msaidizi wa mashughuli ya muziki wa Bobi Wine, Andrew Mukasa atabaki ndai ya ulinzi katika jela ya Luzira baada ya changamoto kwa kesi yake ambayo alipatakana ana makosa.

Tukio hilo kilimshangaza wakili wake Erias Lukwago na pia mahakama hiyo baada ya Mukasa kukubali mashtaka dhidi yake.

Image result for andrew mukasa pleads guilty

Juhudi za wakili wake kumfanya abadili wazolake la kuitikia kufanya uhalifu wa kuzungumza maneno yasiyo faa kwa mitandao ya kijamii.

Hakimu aliweka kikomo ya kipindi hicho cha korti hadi tarehe 25 juma lijalo ili kusaidia kutafuta mtu wa kutafsiri maneno hadi lugha ya Luganda kwa sababu wakili wa Mukasa hawakuwafahamiana vizuri na hakimu.

Image result for andrew mukasa pleads guilty

Bajjo anashtumiwa kwa madai ya kushawishi umma kwa fujo na matamshi ya hasira akiwa kwenye majimbo ya Masaka, Mbarara, Kampala na Ibanda.

Inasemekana Bajja alirekodi video akisema kuwa atapindua serikali ya Museveni kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2021.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *