“Ata huna hela ya Prado,” Kakake Joey Muthengi agongana na shabiki wake

Image result for holly dave

Rapa wa injili Holy Dave alilazimika kumtupiaa maneno makali shabiki mmoja aliyemdihaki baada ya kuweka kwenye mtandao kuwa anahitaji msaidizi wa kibinafsi.

Holy Dave ambaye ni ndugu wa Joey Muthengi, alitangazia mashabiki wake kuwa anataka msaidizi wa kibinafsi amabaye anaweza kumsaidia kwa mambo ya vyombo vya habari na biashara.

Related image

Ujumbe huo haukuenda sawa na matarajio baada ya mmoja wa mashabiki kusema kuwa yeye ata hana pesa ya kununua gari aina ya Prado na itakuwa ngumu ata kulipa msaidizi.

Holy Dave alishindwa kujizuia na akajipata anamjibu shabiki wake kwa maneno ya kukejeli.

“Utawahi kununua prado wewemwenyewe ukikaa tu na kuchukia ukibonyeza vidude vya simu yako? Inaonekana hauna kazi. Hata hivyo naelewa uchumi mbaya humu nchini na kaz ambazo hazipatikani. Njoo nikupe kazi, tutajitahidi pamoja tununue Prado.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *