Baadhi ya Ujumbe za kusisimua wa mastaa hapa nchini siku ya kuadhimisha mababa

Image result for bahati kids

Siku ya kuadhimisha Baba ya mwaka huu imekuja na kwenda, lakini tunaishereheea kila wakati baba zetu na wanaochukua jukumu la baba kwa kukima matakwa ya familia zao.

Mastaa mashuhuri humu nchini hawakuachwa nyuma kwenye siku kuu hii iliyoadhimishwa siku ya Jumapili 16 Juni 2019.

Image result for happy fathers day

Siku ya Baba ni sherehe ya baba, dhamana za baba, na jinsi baba wanaovyochangia katika kukuza jamii. Kutoka Bahati hadi DJ Mo, haya ni baadhi ya ujumbe mzuri zaidi ulioachwa kwa baba mtandaoni;

 

View this post on Instagram

 

Yeah I really liked this trike. (Bike? Trike? Yeah?) Happy Father’s Day. ❀️

A post shared by Patricia Kihoro (@misskihoro) on

 

View this post on Instagram

 

HAPPY FATHERS DAY HUBBY!!! @bahatikenya πŸ’ Morgan, Heaven and Baby are sooo Blessed to have you as the coolest Daddy ever. πŸ•Ί I Love how you work extra hard for them to have everything you’ve never had in your childhood 😭❀ The love you have for them is unconditional, I can’t wait to see you holding conversations with them when they’re old enough to understand everything. πŸ€— Old enough for people to mistake them for your bro’ and siz 🀣🀣🀣🀣 I’m looking forward to many things as you raise them the best way you know how to. πŸ’— As for me, God made sure he gave me the best and I’ll continue being your support system as long as I’m breathing… I’m forever thankful πŸ˜πŸ™ You are Amazing, We love and Appreciate you. Thank you for Being our Pillar and our Crown which you wear with soo much Pride. 😘 May God continue Blessing you abundantly, May He continue placing you in places you never even applied for. πŸ™ Our 10/10 πŸ’“πŸ’“πŸ’“πŸ’“ πŸ‘‘ Happy Fathers Day My King! πŸ‘‘

A post shared by Signora Bahati β™₯️ (@diana_marua) on

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *