Maisha lazima yaendelee! Alex Mwakideu arudi kwa redio baada ya kumzika mama

Related image

Mtangazaji wa Milele FM Alex Mwakideu ametuma ujumbe wa shukrani kwa rafiki zake na familia baada ya kuzikwa kwa mama yake.

Mtangazaji huyo pia alitangaza kurudi kwake kwenye redio baada ya mapumziko mafupi alichukua kufuatia msiba uliowakumba.

Image result for alex and jalas

Alex Mwakideu alimpoteza mama yake mwezi jana na akazikwa wikendi iliyopita.

Msiba huu wa kutamausha iliakuta kina Alex na familia yake miezi chache baada ya kumpoteza dadake Emmy Mwakideu aliyeugua saratani.Image result for alex and jalas

Kupitia kwa mtandao wa kijamii, Alex Mwakideu aliwashukuru marafiki na jamaa waliotuma rambirambi zao, kusaidia kuchanga pesa na pia kwa maombi kwa wakati huu mgumu.

“Natamani kungekuwa na fursa ya kuandika kwa kila mmoja wenu, au hata kukumbatia kila mmoja wenu (hahaha) lakini kwa sababu siwezi kufanya hivyo sasa, nataka tu kukuahidi kuwa nitawaombea, nitamshukuru Mungu kwa ajili yenu daima,” alidokeza Mwakideu.

 

View this post on Instagram

 

#AlexNaJalas Welcome back my Captain!! Please welcome back @alex_mwakideu Unaskiza milele Fm ukiwa wapi?

A post shared by JALANG’O (@jalangoo) on

Mwakideu aliongeza kuwa amejifunza mengi kutokana na msiba huu na kwa zaidi alipata kuona upendo kutoka kwa watu.

Baada ya kumuaga mama, amerudi rasmi kwa redio na maisha itaendelea.

Sasa maisha lazima iendelee na ninaamini hata mama anataka maisha yetu kuendelea,” alisema.

 

View this post on Instagram

 

Friends, Let me say AHSANTENI SANA for all the messages of condolences you sent us, For the contributions you made towards my mom’s funeral, for praying for us, for showing up when we needed you the most, for everything that you did to make this process bearable. I wish I had a chance to write to everyone of you, or even hug each one of you lol but because I can’t do that now, I just want to promise you that I’ll be praying for you, I will thank God for you always. Nimejifunza mengi ajabu… lakini zaidi ya yote nimejifunza upendo zaidi. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 . Now life must go on and I believe even mama wants our lives to go on! So tomorrow morning… We hook up fron 6AM to 10AM ndani ya @milelefm . #AlexNaJalas #BackWithABang #ItambeMilele 💪🏽💪🏽💪🏽

A post shared by ALEX MWAKIDEU (@alex_mwakideu) on

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *