Ebwana a long waited video ya msanii wa muziki nchini Tanzania ,Marioo imetoka rasmi video imetayarishwa na kuongozwa na Hanscana ambaye pia ni meneja wake. Audio ya imetengenezwa na Kapipo. Enjoy good music kutoka kwa Marioo hapa chini. Unauonaje mziki wa Marioo?