Kumbe umama hujaanza juzi, Kenyans tell MC Jessy

Image may contain: one or more people, people standing and outdoor

Comedian Mc Jessy has for a long time been accused of behaving in a woman-like way. Kenyans trolled him after he shared a rare throw back photo. He captioned it; “I won’t forget this day, imagine mbogi yangu ilinihepa just because I came with a pink water bottle. Ever since umama haijawahi isha.”

Kenyans stormed social media with mixed reactions, here are some of them;

Sam Sam: Hapa bro ata ancestors walikuwa wamekudisown🀣🀣🀣🀣🀣🀣,,,,gani kukondena beyond repair..
No wonder food is your all times first priority..🀣🀣

Β Purity Chema: Leave alone the bottle let’s talk about the trouser yawa
Onesmas: Wah wale watu husema eti Mungu amewasahau kujeni muone hii, siku tu ndio haijafika utakuwa unaangalia suti kwa wardrobe hadi unashindwa utavaa gani….
New Year GIF - New Year Newyear GIFs
Joannitahs: Iyo trao nikama ulikuwa umeomba
Warda: Thats why you always confuse me😁😁😁

David Kiboo: Aki hio toja…..,,inakaa umama TuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Spit Take GIF - Spit Take Laughing GIFs
Mercy Njuguna: Enyewe ata ka nilikuwa mmoja wa hiyo mbogi singetaka unikaribie. Happy belated women’s day
Elsie: Let’s talk about the trouser,the bottle later. Hahahahaha
Pjezz: Bogi ya kimonyoski amaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. Siunakuaga na umama mingi lakinπŸ˜‚Jim Carrey Sarcastic GIF - JimCarrey Sarcastic Laugh GIFs
Pharis: Afadhali hata ungebeba ile container ilikuwa inakaa sungura…Hizi ni gani aki?gani?πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkenya: Am sure hio trouser ilikua imefungwa na makonge ndio isianguke,cheki mfuko….lol labda ni ile simu kubwa ya Sony Ericsson
Leah Maina: Better ungebeba na chupa ya mafuta taa hi inakaa tu umama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Laughing Babies GIF - Baby Toddler Laughing GIFs
Ochonga: Sasa ata kama ni vipi utabeba aje anything ya pink..wewe unafaa kupigwa na iyo umama yako
Khasadi:Β  😁😁😁😁😁watu hutoka mbali kweli… Na huu umama ulianza kitambo..
Laugh Lol GIF - Laugh Lol Lmao GIFs
Rebecca Baha: Jessy no wonder men are colour blind,tuseme meru that’s the pink colour,go change your cataracts anga ukiwekewa ya mbuzi utaona vizuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Rocho: ulikua na kaumama flani hadi pose ya mguuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Am Ngina: Huyu ni Jesse sio Jessy 😜😜😜

Leave A Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *