As the Muslims celebrate the holy month of Ramadhan, Diamond Platnumz’s fiancee, Tanasha Donna has been ordered to stay away from him. Through social media accounts, Tanzanian comedian, Idris Sultan said;
“Ahhhh kidogo nisahau, Mondi inabidi Tanasha arudi Kenya mpaka Ramadhan iishe. Ni hayo tu. Wako mtiifu, Mzinzi mwenzio.”
His fellow Tanzanians stormed the comments section with mixed reactions as most of them supported his motion. Here are some of the comments;
ashabonge: Wallah na mm nilitaka kusema ivo maana kitanasha kimetuwekea location kuwa kpo mbezππ mrino: Mondi anavyopenda kupaka mate ateleze kama nyoka pangoni.!!π hawez kubali hataπ€£π€£
jennylightness: Naomba na ww uache bangi ramadhani imeeanza ucje ukatufuturisha π
π
innomwarabu: Hivi unanini lakini. Embu tuache kwanza tuna mambo mengi muda wenyewe mchache
milikimangindo: Na Ramadhan ikiisha waambie hivi,Kama mliacha uzinzi kwa sababu ya Ramadhan,basi Ramadhan imeisha,na kama mliacha kwa sababu ya Allah,basi Allah yupo na anayajua yote mtendayo na kila jema au baya atalilipa hata likiwa dogo mithili ya sisimizi
mr.photognic: We Mzinzi Umesahau Kuweka Saini Yako Hapo Mwishoπ
official delove: πππNawew Mwambie Wii Hakuna Bby Bby Hadi Ramadan Iishe
olivia: π€£π€£ na tanasha akiondoka akifunge kile kinanilii na kofuli funguo akuachie π
wemasepetu: πππππking bae wangu popote ulipo naomba uje uku kuna ujumbe wako mzito
hamix: Idris kuna vitu ambavyo haujawah kumiliki mojawapo ni akili