‘Leo Ni Friday, Form Ni Gani?’

Related image

Kuna kafeeling fulani hukuja na Friday. I don’t know what happens but, suddenly you find yourself excited. Your hormones become jumpy and endorphins are released(you know, the feel good hormones). Somehow the effect is mirrored to everyone around you. Ukienda stage madem wote wamevaa nguo fupi fupi na blouses za bright colours(blouses? when was the last time I used that word?).

So…..ka-Friday kanaaza kujikokota coz kila mtu huwa anagoja jioni ifike(who told everyone that kuenda out lazima ikuwe ni Friday?). Na juu kila mtu anakuanga na squad yake, saa nane kuenda mbele mshaanza kuulizana form ya leo itakuwaje?

Image result for mafisi memes

Soo masimu ndio hizo……mshaanza kupigiana. Na kuna ule jamaa hamuezi taka akose….coz akikosekana kwa group, life inakuwa tu boring. Probably ni Kevo ama Karanja. Watu wa mdomooooo, lakini bado ndio wale hujua kuwachokozea madem. So you call yourselves up, so that you know who is where.

Image result for mafisi memes

Kidogo kidogo six imegonga na squad inapatana. Nyinyi haoo…mnaamua kwenda kutesa


There is always an unwritten rule in any squad when you go out for drinks and it is always ‘eating first’. So you guys order either a choma or a tumbukiza(boiled meat and potatoes, lots of potatoes).

Kidogo kidogo wewe na ufala yako wengine wakikula nyama…..kaujinga kanakuingia unaamua kuuma waru moto na wale wengine wanakula nyama faster!


Eventually, the drinking begins. Maquarter na mamzinga zinaanza kuingia area.

Related image

Kidogo kidogo teii inaanza kushika……suddenly the music becomes louder, the colours become brighter and you feel like you wonna fly…..

You start noticing ngeos…….mbeuriful ngeos in the club….everywhere………

Related image
Image result for mafisi memes

The squad is now becoming restless. Watu wameshiba, wameanza kulewa na wengine washaanza kudance……….

So you decide to check youselves int the dance floor, and the naught sides kick in….you spot a group of ladies sitted somewhere and decide to chokoza them…..

Is it just me alone or…….everyone else…..when you get high…..you start speaking English like the queen herself….so mnajichocha mna-approach madem na kizungu yako yote….

Related image

Since there girls are also high, and you guys are throwing drinks anyway…..they accept to dance with you….but the ufisi in you kicks in and it knows exactly what it wants!

Related image

So mnaanza kuharakishana juu unajua kashaalewa…….na ulikuwa umeskia vizuri sana conersation yao earlier ati kuna beste yao alikuwa awakamie lakini hajafika

Related image

So mnaamua kuchota……..

Image result for mafisi memes

Those who werent luck enough to fungaaa any chick are the most drunk….they are at loggerheads with everyone….even the bouncers….they cant walk on their own coz they are damn wated…..na hivi ndio wanatoka club…

Related image

Eventually you somehow manage to fikishaaa your fungaaa in de houze but she somehow comes to her senses…….she starts to stir-up a fusss but you are ssthe guy with serious lines……………anangorea nani…..na wewe ni ule guy unaambiaga madem…..’i will sleep on the chair, have the bed to yourself!’ hahahahah……

Related image

Kidogo kidogo she stirs up some more serious fuss……even raising her voice…..alafu the ultimate line ya kumaliza hii mchezo inatokelezea………hiii ndio huwa inafunga chapter ‘ its tooo dark outside, and you still wonna go home in this darkness?’

Related image

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *