Diamond faces it rough for flossing with money

The king of Wasafi, Tanzanian bongo artist, Diamond Platinumz, is well known for his music and relationship dramas. Through his Instagram account, he shared a video of him counting money saying how much he missed his office since he is in Paris. Some fans told him to stop flossing with little money for if the money was much, he would be counting it with a machine.

Here are some of the reactions;
Amin abdi: You are what people say….ukifa utaitwa ile jina yenye watu wanakuita hapa duniani….pia wewe ni mtupa mzazi ,wacga kufikiria tu ya hapo duniani fikiria pia ya akhera….ushaafika miaka ya kuzeeka 40 years na bado unavaa kama mtoto au hata tuseme chokoro…sisi hapa tumekuwa fan wako lakini tumechoka na ww because you dont grow….kumbuka uko na watoto ww mshamba….behave kama Ali Kiba….kuwa responsible kama Ali Kiba…kuanzia leo kwanza mm si fan wako….tumechoka na ww fala hii.

Habib jamaldin: kimbiza mnyama, wachimba chumvi midomo imeisha chaji   fkimalo: Piga nazo picha mdogo wangu iko siku itakuwa ukumbusho kama sio wako basi kwa watoto wako…tena wale uliozaa ma wabongo wenzio..na bimkubwa pia
bibichake: Umejirogha mwenyewe

pucods: Kweli unazo ila hazituhusu so nibora usizionyeshe
rahmani 8076-yebaa: Ujue tz ushamba kupost unahesabu ela Tena kwa mikono nasio mashine pesa ndogo Sana hiyo sema ulimbukeni siunajua maisha yao dm mwenye kumiliki laki laki yeye
maketeally: Hiyo tu haitoshi mtibie mzee kwanza

catherinekanwa: Mwanangu kuonyesha hela hivyo siyo vema wengine hata maji ya kunywa hawajui wayapate wapi ila wewe Mwenyezi Mungu amekubariki ila hiyo siyo vema unfanyavyo kwani ukihesabu bila kujirekodi zitatoweka au zitapungua? Take care
hassan musa56: Fara ww…..babako anaumwa unashindwa kumsaidia! Kweli masikini akipata ni shida
luo-jessy: If u have money stop showing us enda ukamtibu baba mzazi.ur very hurtless man yet u cal urself simba shem on u go and treat ur father ….nkt

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *