Mgeja atangaza kustaafu siasa; Kigogo Chadema akitaka chama chake kususia chaguzi zote

Mgeja atangaza kustaafu siasa

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja, ametangaza kujiondoa kwenye siasa na kujikita kwenye kilimo. ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja. Mgeja ambaye alijiondoa CCM wakati wa mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), alisema juzi mjini hapa …Details<<

Kigogo Chadema akitaka chama chake kususia chaguzi zote

Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Profesa Abdallah Safari Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Profesa Abdallah Safari amekishauri chama hicho kususia chaguzi zote nchini na kudai kwanza tume huru ya uchaguzi. Kauli ya Profesa Safari imekuja wakati Chadema ikiugulia maumivu ya kupoteza Jimbo la …Details<<

Kimenuka..Yabainika Kuwa Diamond Alitafuta Kiki Kupitia Safari ya South Africa

Msanii wa filamu Shamsa Ford, amedai kuwa msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz alikuwa anafanya kiki kwa kudai watu watasafirishwa kwenda nchini Afrika Kusini kwenye sherehe ya birthday ya mtoto wake Tiffah…Details<<

Manji ashtua mastaa Yanga

Yusuf Manji RUDINI Yanga kumenoga jamani! Yanga jana jioni imetua jijini Dar es Salaam, ikitokea kambini kule Morogoro huku wachezaji wake wakiwa na mzuka kwelikweli kutokana na taarifa njema walizopewa. Leo saa 1:00 usiku jeshi zima la Mwinyi Zahera litakuwa Uwanja wa Taifa kuwakabili USM Alger ya Algeria kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika…Details<<

Magari manne ya mafuta yawaka moto

Ngara. Magari matano ya mizigo yameteketea kwa moto katika kituo cha forodha Rusumo Wilaya ya Ngara mkoani Kagera mpakani mwa Tanzania na Rwanda baada ya gari la mafuta ya petrol kuligonga gari jingine na kupoteza mfumo wa breki…Details<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *